Mgonjwa: Habari za uxubuhi my dr mwanamke ametumia dawa za family plan bt tangu achome damu haikatiki nn solution ya hapo
Dr.ibu: Dawa za family planing zipo za njia tofauti... vidonge, za kuchoma, vipandikizi na loop au kitanzi, n.k ... katika pia zipo njia za kutumia za kutumia kila tendo mf.condom zipo za kutumia kila siku mf.vidonge zipo za baada ya muda fulani... mf. Za kuchoma kila baada ya miezi mitatu, kipandikizi kila baada ya miaka mitano na loop kila baada ya miaka mitano na nyingine miaka 10... na emergency kama p2 na p1
Uzazi wa mpango ni bure..
Madhara yake zilizonyingi zinaleta kitu tunaita unscheduled bleeding yaani unatoa damu bila ratiba maalum... hali hiyo huwa inatokana na ile hali ya hormone ulizoingiza kupitia zile dawa ulizotumia... mara nyingi huwatokea watu ambao ni mara ya kwanza kutumia na pia hutokea siku za mwanzo baada ya kutumia njia fulani ya uzazi wa mpango... utokaji huu wa damu hupungua jinsi siku zinavyozidi kwenda na baadae huacha kabisa.. tafiti zinaonesha karibia utokaji damu unaotokana na njia zote za uzazi wa mpango unapungua au kutibiwa na hormone ya estrogen.. kwahiyo ukipewa estrogen hormon zote zinakaa sawa mwilini na hivyo damu inaacha kutoka.
Sasa kuna dawa gani yenye estrogen... hii ni homoni ambayo wataalamu wameiweka kwenye vidonge na wanatumia trade name au majina ya bidhaa mbalimbali lakini ukienda pharmacy mwambie unaomba estradiol itakusaidia
Acha maoni ako hapo chini pia unaweza kutuma swali lako kupitia whatsap no 076757271 jina lako litakua siri
kujiunga na group la whatsap bonyeza hapo https://chat.whatsapp.com/3fsRnLDkTZIFMqasAjJXWU
Be healthy and happy
No comments:
Post a Comment