Monday, 17 September 2018
Swali: Kuna dawa za kuzuia mimba zinaitwa P2 je hizo dawa ukiwa unatumia Mara kwa Mara huwa zina madhara yeyote kwenye mwili
JIBU:
P2 ni jina limezoeleka la dawa za kuzuia ujauzito kama mtu kafanya mapenzi katika siku za hatari.... ni njia ambayo inatumika sana lakini watu wengi hawaulizi matumizi yake au wanapuuzia matumizi kadri yanavotakiwa ...
Ukweli ni kuwa p2 ni dawa ambayo inatengezwa na hormone. Na inafanya kazi kwa kuchelewesha yai lisitoke kwenye ovari au kuzuia mbegu za kiume zisiingie kwenye mji wa uzazi zipate taabu kusafiri kwa kuzalisha uteute mgumu utakaoipa shida shawahawa kusafiri na kurutubisha yai..
UNAMEZAJE??
ukiona umefanya mapenzi na ukahisi umefanya siku za hatari na hujapanga kupata mimba unatakiwa kumeza dawa hizo...dose ni vidonge viwili 150gm jumla ni either kumeza vyote viwili au unameza kimoja alafu unasubiri masaa 12 unameza kilichobaki au kumeza vyote viwili kwa pamoja.. ila ya kumeza vyote viwili ndio ina faida kubwa zaidi.
Lini unatakiwa kumeza dawa hizi?...
The earlier the better wazungu wanasema wazungu.. dawa hizi zinakukinga mpaka kwa muda wa masaa 72 siku tatu. Unaruhusiwa kutumia ndani ya masaa 72 baada ya kufanya sex... baada ya hapo hazikusaidii.. ila uwezo wa kuzuia mimba unapungua jinsi siku zinavyozidi kusogea mbele mfano ukinywa kidonge cha kwanza ndani ha masaa 12 ya kwanza uwezo wa kuzuia ujauzito ni 95% ila ukinywa siku ya tatu baada ya masaa 48 ni 58% tu. Hivyo ni vizuri kuwahi..
Tahadhari
Hii sio njia ya uzazi wa mpango... ni vyema kutumia njia za uzazi wa mpango za kawaida kama mipira ili pia tujikinge na maradhi ya zinaa..
Pili hutakiwi kutumia njia hii zaidi ya mara moja kwa mwezi madhara yake unaharibu balance ya homoni na utableed sana na mzunguko wako utakuwa haueweki na pia unaweza pata machunusi usoni na ngozi kuwa na mafuta yaliyozidi.
Tatu ni gharama. Kwa dsm gharama yake inarange kuanzia 5000 mpaka 10000 hii ni kubwa sana ukizingatia bei ya kondomu au njia ya kudum ya uzazi wa mpango ambazo ni bure
"Be healthy and happy"
Nawapenda sana
Acha maoni ako hapo chini pia unaweza kutuma swal lako kupitia whatsap no 076757271 jinalako litakua siri
kujiunga na group la whatsap bonyeza hapo https://chat.whatsapp.com/3fsRnLDkTZIFMqasAjJXWU
@dr.ibu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
7 comments:
Mfano nmemeza siku ya hatari Leo mchana then kesho asubuh nikakutana na mume na ikawa bado ni cku ya hatar pia ,Sasa iyo dawa bado itakua inasaidia kuendelea kuzuia mpaka 72hrs?au sheria ya dawa inatumika only baada ya sex?yaan ukimeza before sex is it working bado? Kabla hayo masaa 72 he kuisha nkawa nmesex tena?
Habari dr.swali langu ni hv ni kiwango gan cha ujazo wa mbegu ambazo zitakua na uwezo wa kutunga mimba pasi na shaka?
Ok
P2 huwa zinakuwa vidonge viwili au ni wewe umanunua box zake mbili??
Uki sex leo afu ukaa siku mbil ndo ukanywa iyo daw inazuiya kwelii au
Uki sex leo afu ukaka siku mbil ndo ukameza iyo p2 inafaa kwelii au ndo umechelewa
Kama una mimba p2 haiwez kukusaidia kutoa
Post a Comment